As it has been our tradition, every christmass we slash our album price from Kshs.350 to Kshs.100. This year is not an exception.This offer is valid till 02.01.2011.
The album contains 14 tracks including Upendo wa Ajabu, Hapa Hatutoki and Fagia yote.
Kindly inbox us your contacts on our FACEBOOK page,we will ensure you get a copy!!
Hurry while stock lasts!!
Be blessed.
Thursday, December 23, 2010
MERRY CHRISTMASS AND A BLESSED 2011
HOLY BATTALION MINISTERS wishes all of you a Merry Christmass and a Blessed New Year.
Remember Jesus is the reason for the season - Matthew 1:21
BE BLESSED !!!

Monday, October 18, 2010
UPCOMING EVENTS- NOVEMBER 2010
NYERI COUNTY TOUR – HOLY BATTALION LIVE ON STAGE; Date: 5.11.2010 Venue: KIMATHI UNIVERSITY; Time: 10pm – 5am; Featuring: Nabii, Bernardoz, Onesh & Violah.
FAITH FOUNTAIN (Pst.Roche Dee)– HOLY BATTALION LIVE ON STAGE; Date: 6.11.2010 Venue: St.Andrews Church near University of Nairobi (New Hall) ; Time: 3pm – 6pm; Featuring: Nabii, Bernardoz, Onesh & Violah.
ACOUSTIC CONCERT - HOLY BATTALION LIVE ON STAGE; Date: 21.11.2010 Venue: Kariobangi North Primary School; Time: 3pm - 6pm;Featuring: Nabii, Bernardoz, Onesh &
Violah.
HOLY BATTALION and friends will be visiting THOMAS BARNADOS Children’s home – Lang’ata DATE: 27.11.2010 TIME: 2pm – 4pm. If you want to join us, feel free to contact us.
YOUTH CAMP - HOLY BATTALION LIVE ON STAGE; Date: 29.11.2010; Venue: DIGUNA (Ongata Rongai); Time: 7.00pm - 9.00pm; Nabii, Bernardoz, Onesh & Violah.

Wednesday, January 20, 2010
HAPA HATUTOKI lyrics
UPENDO WA AJABU ALBUM
Written & sang by: Nabii, Salim, Bernardoz & Onesh

(feat. Marira.)
Intro- Marira
Hapa Hatutoki kama Baba huendi nasi uwepo wako twahitaji, kuhifadhi kila wakati aaha.
Verse one - Nabii
Siwezi chukua hata tatu hatua kama sio wewe wangu kiongozi sioni
Kama sio wewe wangu muangaza ningekuwa nikiteguka anguka kwenye giza
Kama sio lako neno langu sikio kunasa ningekuwa naishia kwa anasa
Kama sio yako nguvu ningekuwa nishazimia nimelemewa kukimbia hii mbio ya wokovu
Lakini sasa naelewa ukiniambia nitulie tuli na nijue kuwa wewe ndiye Bwana, ndiye mwanga, ndiye mwamba, ndiye mweza yote
Bila wewe kweli mimi singeweza
Ndio sasa ninasema hakuna vile hakuna siku hakuna hatua hata nusu nabii atapiga
Kama sio wewe wanitangulia…………elekeza (mulikia) zangu zote njia
Chorus * 2
Verse two - Salim
Lord I know sometimes back I was a fool ( a fool),But now me realise, you are so good,Hey, Let your fresh anointing come down to me,Let it shine, let it move, wherever me a go,Without your presence Lord, who am i to be,
To feel your holy spirit Lord that is what I need,You know what am telling you Almighty one,Like the Israelites till I go with you
(Marira):Jesus you are alive my only superstar,
You make me smile and open me heart
(Marira): Come Holy spirit and move on me mind
And let me a feel, thy presence in me life

And let me a feel, thy presence in me life, Ooh yeaaah!
Chorus * 2
Verse three – Bernardoz
What do they say when you always praise His name?
They say this guy is totally insane.
What do they say when you always seek His face (man)?
He a go lose it, he a go fall off, (yeah)
What do they say when you teach on Holiness (man)?
Him a pauper, him a big thief (Heiy)
Heiy don’t worry just continue praying,Even persecuted never worry mummy daddy,God is so faithful, caring and full of mercy,Wacha sarakasi wee mpe nafasi naa,Bila wasiwasi atakuja yee binafsiNa damu yake kuondolea wee dhambi (now), Shuka Baba shuka Baba nenda nasi,Kila wakati sisi tunakuhitaji,
Come Holyspirit come take a control Lord,Without your presence our life is incomplete (man)
Chorus * 2
Onesh
Hapa Hatutoki – (toki)
Kama Baba huendi nasi (nasi)
Uwepo wako twahitaji (taji)
Aaah ! aah! Aah! Aah! Messaiah * 2
Chorus (fade)
Onesh
Hapa Hatutoki,Kama Baba huendi nasi,Uwepo wako twahitaji.
Chorus – Marira
Hapa Hatutoki kama Baba huendi nasi uwepo wako twahitaji,
kuhifadhi kila wakati aaha.
Holy Battalion Ministry
©copyright 2004-All Rights Reserved

WONDERFUL lyrics
UPENDO WA AJABU ALBUM
Written & sang by: Nabii, Onesh & Bernardoz
(feat. Hermie)
Intro – (Hermie)
It’s so wonderful to know
Verse one (Nabii)
Ni upendo wa ajabu siwezi simulia lakini jinsi ninavyo nafasi ndivyo nitawahubiria toka mwanzo alikuwa na hakuna lile liko sasa lingekuwa bila yeye kutamka alinena uhayi kwa yangu maisha kwa kuwa kafara pale msalabani wakati ambapo nilikuwa si stahili bado yangu hali alikuwa anaijali. ni dhairi kuwa lake penzi haliwezi linganishwa kwani yeye ndiye alikuja kwangu mlangoni kubisha hodi hodi nilithani alikuwa amekuja kudai kodi nikavaa koti nikajidai nilikuwa ninatoka akaniambia la turudi ndani kwani leo nimekuja nile nawe ninywe nawe mambo makubwa hayo ajabu sana
[Chorus*1]
Verse two (Onesh)
Asante Mwokozi kwaku nifuta machozi,Kwani, Ijapokuwa niliambiwa usilie
lakini bila Yesu kila siku kwa kilio,za sakafuni Hizo mbio
nilikimbia nikaona nimefika nikashika, kila kitu chafu mimi nilitaka
bila kujua futi sita ninachimba huku nikicheka Aha ha ha!
Kama sio Yesu kunipenda
sijui ni wapi ningeenda Ninani ningemlilia, Ndiposa namshukuru mkombozi
Aliye ni komboa dhidi ya dhambi zangu za Jadi, Msamaha nikaupata, akanitegulia kitendawili cha Maisha hivi
Bila pendo lake siwezi kila siku nalihitaji, Skiza, anabisha mfungulie mkaribishe kisha ukae naye, fahamu ni rafiki na pendo lake Mwokozi huwa la kipekee
[Chorus*2]
Verse three (Bernardoz)
Awesome indeed, hakuna pingamizi, upendo wake hauna msimulizi,
Isingelikuwa yeye hatungepata ushindi, maisha mema, tukiasi ibilisi,
Sasa naweza wasiliana naye Baba, bila vikwazo,wasi wasi, kwa furaha
Kifo chake, kimeleta nyingi fanaka,Haleluya asifiwe mwenye Baraka,
Imekwisha, matamshi yake msalabani,nikishika njia zake dhamira yangu shwari, nitasonga mbele kamwe sitarudi nyuma, the price he paid kubwa haiwezi linganishwa, His yoke is easy, His burden is light, come now to Him atakupa eternal life, join the Holy train huku uki-celebrate, ushindi msalabani faida yake kem kem
[Chorus *2]
Chorus – (Hermie)
Wonderful to know
That Jesus died for me yes His blood has set me free,
It’s so, wonderful to know
Now he didn’t hold back on me, yes He gave His life for me
Holy Battalion Ministry
©copyright 2008-All Rights Reserved

UPENDO WA AJABU lyrics
Upendo wa Ajabu Album
Written & sang by: Salim, Bernardoz & Nabii
(feat. Marira)
Intro:
Holy Battalion crew, Apostle Bernardoz alongside Pastor Salim - Klasta, Nabii and Marira, esh! You better know, Messaiah, ushasema..ama vipi?
Chorus- Marira
Ni Upendo wa Ajabu siwezi kusimulia
Pendo la Ajabu, siwezi kuelezea,
Pendo la Ajabu siwezi kufananisha,
Pendo la Ajabu siwezi kulinganisha
Verse one.
Upendo wake Mungu Baba ni wa Ajabu ingawa nimepita shida nyingi na taabu,
Oh Baba yangu tafadhali sikiliza, yale umetenda siwezi kueleza,
Marafiki umenipa wanaonijali, wazazi pia nao wanaonipenda,
Iwe jua ama mvua, nishaamua, ni wapi ningekuwa bila upendo wako Baba,
Jambo moja hili, Jambo freshi jo,Bwana Yesu alikufa kutuokoa so,
Mwenye dhambi jihadhari utadedi jo,Mshahara wake dhambi ni mauti, weeee!
Life bila God ni ka kukosa usingizi
Upendo wake mob kanitoa kwenye giza, Sasa nina furaha sina hofu hata kamwe
Yesu Kristo ndiye njia ya ukweli.
[Chorus *1]
Verse two.
Why let your big sun shine on me Lord ,and send your begotten son to die on the cross,
You’ve been my Ebenezer each and every day,You let your Holy Ghost fire come down and fall,Like the day of Pentecost,Lord I recall, your
Your greatest love Jesus come down upon me,Where would I be Lord without your Love ,Come down my Father and give me some more,
Put philosophies, add your heresies,Jesus never cease to be the one who is supreme,
Hey! What a pity when you are wallowing in sin,Hell fire burn and you cant resist,
Oh what a love, that Jesus gave Himself for me,
Oh what a sigh, of relief when He broke my chains,Today I sing, forever
nita- praise His name,He is the same forever He reigns AMEN.
[Chorus]
.
Verse three

Jiweke kwa yake nafasi waza kwa dakika, wahesabu masaa wasee wacome kudai yako life Ingekuwa ni mimi umetishia kuishia na yangu maisha,Pengine ninge jiami na silaha tayari kujilinda,Lakini yeye kwa upendo alichukuwa mijeledi arobaini ondoa moja
Thelathini na tisa alistahimili pale msalabani
Ili kukutoa kwenye giza,Imagine hizo misumari hizo miba jaribu kufeel yake pain
Akitry kuinhale hakuna strength,Akicheki wasee wakicheza kamari na yake mavasi
Lakini kwa upendo maisha yake aliyatoa kama sadaka,Na bado husadiki
Nini wangojea kupokea lake penzi
[Chorus ]
Interlude*
[Chorus ( fade)]
Holy Battalion Ministry
©copyright 2004-All Rights Reserved
Thelathini na tisa alistahimili pale msalabani
Ili kukutoa kwenye giza,Imagine hizo misumari hizo miba jaribu kufeel yake pain
Akitry kuinhale hakuna strength,Akicheki wasee wakicheza kamari na yake mavasi
Lakini kwa upendo maisha yake aliyatoa kama sadaka,Na bado husadiki
Nini wangojea kupokea lake penzi
[Chorus ]
Interlude*
[Chorus ( fade)]
Holy Battalion Ministry
©copyright 2004-All Rights Reserved
Subscribe to:
Posts (Atom)