UPENDO WA AJABU ALBUM
Written & sang by: Nabii, Salim, Bernardoz & Onesh

(feat. Marira.)
Intro- Marira
Hapa Hatutoki kama Baba huendi nasi uwepo wako twahitaji, kuhifadhi kila wakati aaha.
Verse one - Nabii
Siwezi chukua hata tatu hatua kama sio wewe wangu kiongozi sioni
Kama sio wewe wangu muangaza ningekuwa nikiteguka anguka kwenye giza
Kama sio lako neno langu sikio kunasa ningekuwa naishia kwa anasa
Kama sio yako nguvu ningekuwa nishazimia nimelemewa kukimbia hii mbio ya wokovu
Lakini sasa naelewa ukiniambia nitulie tuli na nijue kuwa wewe ndiye Bwana, ndiye mwanga, ndiye mwamba, ndiye mweza yote
Bila wewe kweli mimi singeweza
Ndio sasa ninasema hakuna vile hakuna siku hakuna hatua hata nusu nabii atapiga
Kama sio wewe wanitangulia…………elekeza (mulikia) zangu zote njia
Chorus * 2
Verse two - Salim
Lord I know sometimes back I was a fool ( a fool),But now me realise, you are so good,Hey, Let your fresh anointing come down to me,Let it shine, let it move, wherever me a go,Without your presence Lord, who am i to be,
To feel your holy spirit Lord that is what I need,You know what am telling you Almighty one,Like the Israelites till I go with you
(Marira):Jesus you are alive my only superstar,
You make me smile and open me heart
(Marira): Come Holy spirit and move on me mind
And let me a feel, thy presence in me life

And let me a feel, thy presence in me life, Ooh yeaaah!
Chorus * 2
Verse three – Bernardoz
What do they say when you always praise His name?
They say this guy is totally insane.
What do they say when you always seek His face (man)?
He a go lose it, he a go fall off, (yeah)
What do they say when you teach on Holiness (man)?
Him a pauper, him a big thief (Heiy)
Heiy don’t worry just continue praying,Even persecuted never worry mummy daddy,God is so faithful, caring and full of mercy,Wacha sarakasi wee mpe nafasi naa,Bila wasiwasi atakuja yee binafsiNa damu yake kuondolea wee dhambi (now), Shuka Baba shuka Baba nenda nasi,Kila wakati sisi tunakuhitaji,
Come Holyspirit come take a control Lord,Without your presence our life is incomplete (man)
Chorus * 2
Onesh
Hapa Hatutoki – (toki)
Kama Baba huendi nasi (nasi)
Uwepo wako twahitaji (taji)
Aaah ! aah! Aah! Aah! Messaiah * 2
Chorus (fade)
Onesh
Hapa Hatutoki,Kama Baba huendi nasi,Uwepo wako twahitaji.
Chorus – Marira
Hapa Hatutoki kama Baba huendi nasi uwepo wako twahitaji,
kuhifadhi kila wakati aaha.
Holy Battalion Ministry
©copyright 2004-All Rights Reserved

wow this is my favourite song
ReplyDeletethanks
http://www.reverbnation.com/aleale