UPENDO WA AJABU ALBUM
Written & sang by: Nabii, Onesh & Bernardoz
(feat. Hermie)
Intro – (Hermie)
It’s so wonderful to know
Verse one (Nabii)
Ni upendo wa ajabu siwezi simulia lakini jinsi ninavyo nafasi ndivyo nitawahubiria toka mwanzo alikuwa na hakuna lile liko sasa lingekuwa bila yeye kutamka alinena uhayi kwa yangu maisha kwa kuwa kafara pale msalabani wakati ambapo nilikuwa si stahili bado yangu hali alikuwa anaijali. ni dhairi kuwa lake penzi haliwezi linganishwa kwani yeye ndiye alikuja kwangu mlangoni kubisha hodi hodi nilithani alikuwa amekuja kudai kodi nikavaa koti nikajidai nilikuwa ninatoka akaniambia la turudi ndani kwani leo nimekuja nile nawe ninywe nawe mambo makubwa hayo ajabu sana
[Chorus*1]
Verse two (Onesh)
Asante Mwokozi kwaku nifuta machozi,Kwani, Ijapokuwa niliambiwa usilie
lakini bila Yesu kila siku kwa kilio,za sakafuni Hizo mbio
nilikimbia nikaona nimefika nikashika, kila kitu chafu mimi nilitaka
bila kujua futi sita ninachimba huku nikicheka Aha ha ha!
Kama sio Yesu kunipenda
sijui ni wapi ningeenda Ninani ningemlilia, Ndiposa namshukuru mkombozi
Aliye ni komboa dhidi ya dhambi zangu za Jadi, Msamaha nikaupata, akanitegulia kitendawili cha Maisha hivi
Bila pendo lake siwezi kila siku nalihitaji, Skiza, anabisha mfungulie mkaribishe kisha ukae naye, fahamu ni rafiki na pendo lake Mwokozi huwa la kipekee
[Chorus*2]
Verse three (Bernardoz)
Awesome indeed, hakuna pingamizi, upendo wake hauna msimulizi,
Isingelikuwa yeye hatungepata ushindi, maisha mema, tukiasi ibilisi,
Sasa naweza wasiliana naye Baba, bila vikwazo,wasi wasi, kwa furaha
Kifo chake, kimeleta nyingi fanaka,Haleluya asifiwe mwenye Baraka,
Imekwisha, matamshi yake msalabani,nikishika njia zake dhamira yangu shwari, nitasonga mbele kamwe sitarudi nyuma, the price he paid kubwa haiwezi linganishwa, His yoke is easy, His burden is light, come now to Him atakupa eternal life, join the Holy train huku uki-celebrate, ushindi msalabani faida yake kem kem
[Chorus *2]
Chorus – (Hermie)
Wonderful to know
That Jesus died for me yes His blood has set me free,
It’s so, wonderful to know
Now he didn’t hold back on me, yes He gave His life for me
Holy Battalion Ministry
©copyright 2008-All Rights Reserved

This one rite here does blesses me too sana
ReplyDelete